GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 22, 2010

Week End hii GRM Production ilivamia Katika ukumbi wa Mlimani city. Tlikuwa kazini kwenye harusi ya Al Noor. Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa kabla ya sherehe kuanza. Watu wamapambo wakimalizia kazi yao na vijana wangu wakiwa wana set mobile Studio kwa ajili ya kuwapiga picha maharusi. Sikuhizi watu hawaendi baharini kupiga picha. Mambo yote yanaishia ukumbini.

Vijana wakiset mobile studio

Vijana wa Lotus wakiwa wanapamba ukumbi

Kazi ya kupamba stage ikiendelea. 

Machozi Band nao walikuweko. Hapa wanafanya seting za mwisho.  


Vijana wakiendelea kuset Mobile Studio

Huu Utepe ulikatwa na maharusi walipo ingia

Dah kweli hii ni high Table. Kweli hawa wapambaji ni noma

Keki nayo si mchezo