GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, November 13, 2010

Huyu ndie Ray The Greatest. Mdau mkubwa sana katika Industry ya Filamu Tanzania. Hapa kama anavyo onekana ilikuwa tunatengeneza movie yake inayo kwenda kwa jina la My dream. Hi ni bonge ya movie na iko madukani. Kabla sija sema sana kuhusu hii movie ni bora upate nakala yako.