GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 30, 2010

Huu Ubunifu nimeukubali. Ni mambo ya Hoteli ya Kilima Kiaroo Moshi

Hii ni nyara ya Serikali. Lakini hawa wanakibali cha kuimiliki. Nasikia ni bora ukutwe na bangi kuliko hii

Huyu ni tembo wa kutengeneza. kweli wabongo tukiamuwa tunawezaNilikuwa sijuwi kama nyara zakikaa ukutani zinapendeza hivi.

Si mchezo