GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 10, 2011

Vivian's Night hakika mambo yalifana sana. Nawaonjesha kidogoVivianne

Super


Nimekubali DadaVivianne akiwa na Matron wake


Vivianne akiwa na Mumewake mtarajiwa. Ila kwasasa wameshafunga pingu. Safi sana. Inapendeza sana pale siku ya sendoff mwanaume anakuwa free na kupiga picha. Wengine wanajificha! eti mila


NiceNimekubali hili Swagga

Mume wa Vivianne. 


Upendo kwa mama. Safi sana


Upendo kwa Baba


Ukumbini

Keki

Mume mtarajiwa akitowa swagga

Mheshimiwa Waziri mkuu msaafu naye alikuweko


Naye alikuweko


Bongo Flv maipendaaa!

Mheshimiwa waziri Mkuu akiingia ukumbini

Mheshimiwa Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini. Bwana hi siku ilikuwa yaaina yake kwani Vivianne ndio alikuwa wamwisho kuingia ukumbini. Na waheshimiwa wote walisimama wakati akiingia.  Sizani kama kuna sherehe yeyote ukiacha kama hizi eti kiongozi anaingia kabla yako. Safi sana


Waheshimiwa wakisalimiana


Vivianne akibadilishana mawazo na waziri mkuu. Nakumbuka waziri mkuu hapa alikuwa anamwambia kwanini usigombe Ubunge!

Mheshimiwa tunakukumbuka umepotea hauonekani!
Safi sanaSafi sana


Mambo ya msosi Safi sana

Safi sana Mheshimiwa. Anapakuwa mwenyewe!

Nice


Mheshimiwa akitowa salaam

Safi