| Hakika Annamaria alipendeza sana. |
| Safi |
| Dah hakika Annamaria alilitedea haki gauni lake |
| Nice |
| Annamaria akiwa na Matron wake |
| Nice |
| Annamaria akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs. Safi sana na Hongereni |
| The Moment... |
| The Team |
| Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Kiramoo |
| Keki |
| Upendo kwa wazazi |
| Ndafu |
| Annamaria akimpatia zawadi Mumewake mtarajiwa. Sasa hizi zawadi za saa huwa watu wanazifuraia ila chelewa kurudi nyumbani na saa ulishapewa lol ....... ndio utajuwa kwanini ulipewa saa @@@@@ |
| Upendo kwa mama |
| Mwisho wakunuku |



No comments:
Post a Comment