GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 16, 2015

Naomi Night! Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Naomi alitokelezea. Safi sana

Nice


Hakika naomi alilitendea haki gauni lake. Safi sana
Swagga la lee kochi ndani ya Maznat Bridal CareNaomi akiwa na Matron wake

The girls
Naomi akiwa na Mchumba wake ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs


Safi

Swagga la Uhakika wa kumiliki ! lol Safi sana

The Team

Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye read more

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mbezi Gardern!

Naomi akiingia ukumbiniKamati ya maandalizi. Safi sanaKekiKudumisha mila. Safi sanaNaomi akimzawadia mume wake zawadi ya saa. Hayaa sasa ole wako uchelewe kurudi nyumbani!Haya ndiyo mabadiliko. Siku ya Sendoff siyo mchumba anakaa nyuma anajificha. Cheza muziki , ikibidi hata unamsaidia mke wako mtarajiwa kukata keki.  Safi sana Naomi kwa kucheza na mume wako mtarajiwa. Haya ndiyo mapenzi ya kweli. Kweli uko kwenye shuhuli unamuona mchumba wako anacheza  hauta nyanyuka au nafsi aitakutuma unyanyuke?. Tafakari chukua hatua -Ni wakati wa mabadiliko. Mwisho wakunuku