GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 11, 2015

The Wedding of Wilfred and Josephine. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Wilfred na Josephine walitokelezea. Safi sanaNice

Hakika Josephine alilitendea haki gauni lake la harusi.


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

The Team


The GirlsThe Boys katika ubora wao
NiceKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
Upendo kwa wazazi

Pingu za maisha


Mwisho wakunuku
Jamani wadau wa GRM Production nawatakia weekend njema