| Hakika Bernard na Emiliana walipendeza sana |
| The Moment |
| Swagga la The First Kiss |
| Hakika Emiliana alilitendea haki gauni lake |
| Swagga la mama mwenye nyumba |
| Swagga la baba Mwenye nyumba |
| Swagga la Shhhh I love you baby |
| Emiliana akiwa na Matron wake |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron |
| The Boys |
| The Girls |
| Nice |
Kwa Maswaga zaidi zama hapa kwenye Read more
| Upendo kwa wazazi |
| Emiliana Akimtandika Bernard Pingu zamaisha |
| Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mirado |
| MC wa shuhuli DR Cheni. Safi sana. Kweli aliitendea haki hii shuhuli. |
| Keki |
| Mze aka -Babu Makupa akidumisha Mila. Safi sana |
| First dance |
| Kifamilia zaidi. Hahh kumbe nimefanana na Mama yangu mzazi au ni mchacho yangu. Swagga la Upendo kwa Mama aka Dr L M Mboma |
| Swagga la Kifamilia zaidi |
| Nakumbuka namimi nilikuwa mgeni mualikwa basi nikaibuka na Mrs G Makupa. Pia mwenzi wa nane tumetimiza miaka 10 ya pingu lol. Siku zinakimbia balaaa |
| Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment