| Hongereni sana. Nilikuwa na Backup picha nikaona ngoja niwaonjeshe kidogo. |
| The Moment |
| Hakika Michael na Perpertua |
| Duu Michael nimekubali hii suti. Huyu lazima ni Sheria N |
| Michael akichekelea pingu. Safi sana. Sasa hiyo pingu ije ipotee ndio utalijua jiji |
| Hakika Perpertua alilitendea haki gauni lake la Harusi. Safi |
| Upendo kwa mama |
| The Girls |
| The Boys. Hapa Hakuna Konyagi , Tikila na Jaggermaister kweli????!!! |
| Safi |
| Bestman na Matron |
| Mwisho wa kuonjesha. Next week nitawaletea maswagga yote. Chakula ndio kwanza hata hakijaanza kupikwa |
No comments:
Post a Comment