![]() |
| Mzigo mpya umetua ili kuleta mapinduzi zaidi kwenye mambo ya picha-Photography |
![]() |
| Dah nilikuwa naitamanigi hi Tripod kwa muda mrefu |
![]() |
| Nikiikubali stand yangu ya bling bling. Designer stand |
![]() |
| Natumaini sasa nitakuwa nimeitendea haki Nikon D4 kwa upande wa video |
![]() |
| Hizi card nimezikubali dana |
![]() |
| Underwater photo-video light |
![]() |
| Sasa nikasema ngoja ni test vifaa kwa super model wetu Simon Makupa. Kama kawaida malipo yake nilimpeleka movie-na kumpiga chips mayai na kuku basi akakubali kufanya kazi |
![]() |
| Maswagga ya chini ya maji |
![]() |
| Swagga la CCM oyeee chini ya maji. |
![]() |
| Duu sasa hapo uki smile tuu unakunywa maji. Kwaweli hi Idd lazima nije na maswagga kibao ya chini ya maji |
![]() |
| Safi sana. Ukitaka maswagga ya chini ya maji tuwasiliane. Alafu wadau kwanzia next month utaweza kuja ndani ya GRM studio na kupiga picha ila tunapanga appointment. |
![]() |
| Jamani mwisho wakunuku. Kwa niaba ya GRM Production nawatakia Sikuku njemaaaaaa |

















No comments:
Post a Comment