![]() |
Hakika Charity alilitokelezea. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Hakika Charity alilitendea haki gauni lake la harusi. |
![]() |
Kama Kawaida Dada Maznat alimtendea haki Charity kwenye mambo ya makeup. |
![]() |
Nice |
![]() |
Charity akiwa na Matron wake |
![]() |
Hakika Hugodomingo waliutendea haki ukumbi wa mlimani city |
![]() |
Hapa na Mimi nimejikubali |
![]() |
Dah nimeikubali hi keki |
![]() |
Kama Kawaida mambo ya Table setup na Chakula yalikuwa chini ya Dada Dorka. Safi sana itifaki imezingatiwa! |
![]() |
Shikamooo dada Dorkas |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
Maswagga yote ndani ya Maznat Bridal care |
![]() |
Matron |
![]() |
Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment