GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, July 15, 2014

Cleopatra 'ladies' Party. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Cleopatra alitokelezea

Nice

Shikamo Cleo. Kweli hili swagga umelitendea haki.
Kama kawa Dada Maznat alimtendea haki Cleopatra

Hakika Cleo alilitendea haki hili gauni lake

The Kochies ndani ya Maznat bridal care


Swaggas


Upendo kwa mama.Dah safi sana mama. Kwaharaka haraka unaweza kuzani ni matron





Kifamilia zaidi






Cleo na Dada Maznat. Safi sana














Mhhh Shikamo Dada Cleo




Nimelikubali hili gauni
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more 







Upendo kutoka kwa Maznat Bridal care. Walimpa Cleo keki pamoja na Shampeni. Safi sana



Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Ubungo plaza

Keki


























Safi Afia




















Cleo Akiwasili ukumbini

















Upendo kutoka kwa bibi




Safi.







Upendo kwa Bibi




Mwisho wakunuku

No comments:

Post a Comment