GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 1, 2014

Hongera Mwanaafa Mwinzago kwa kuwa mshindi wa TMT-Tanzania Movie Talents.

Kweli Mwanaafa anakipaji. Nakumbuka nilipata bahati ya kumpiga picha kabla ya finali ya TMT na nikaona kipaji chake

Nilimwambia hebu jaribu kunipa sura ya huzuni  kweli yuko fiti. Anastahili hiyo 50 MilGRM Studio
Kama kawaida mtaalamu wetu wa makeup akiwa kazini@Renks1. Unajuwa picha bila makeup nikama sherehe ya mchaga bila ndafu