GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 2, 2014

Realmadrid VS TSN. Onja jinsi mambo yalivyojiri.
Kikosi cha Realmadrid
Kikosi cha Real na TSN-11
Kikosi cha TSN. Kweli hawa wazee walicheza mpira jamani. watu wakaanza kusema ndio iwe timu ya taifa.


Wachezaji wa Real wakiukubali uwanja wetu. 

TSN waliingia kwa Mkwala. Safi sana

Huyu mchezaji ndio alitutandika magoli yoye matatu. Nimeamini kuwa mstaafu wa Spain sio sawa na Msaafu wa Tanzania


TSN wakitandikwa goli la kwanza. Mpaka mwisho mpira ulikuwa ni Realmadrid 3 na TSN 1


Gooooooooooooooo. Sasa kama nikweli amestaafu basi Tumpe uraia aje kucheza bongo. Ila kwa kipaji chake huyu  nahisi Realmadrid walituchakachua kwasababu huyu mchezaji alifika Tanzania siku ya mechi. Yani alitoka Airport mpaka uwanjani na kututandika magoli matatu. Huyu yuko kikosi cha kwanza bwana.Hatari katika lango la TSN-Piganikupige

Figo akivizia goli

Kwa Picha zaidi zama hapa kwenye read MoreGooooooooo

Kipa wa TSN akipigwa chenga

Duuuu  chezea Realmadrid

Nishidaaa. Dah Gooooo. Namuona Kipa wa TSN akishanga baada ya kupigwa bonge la chenga na kuanguka. Hili ndio lilikuwa goli la Tatu.

Goooooooooooo
Wadau wakishangilia mpira. Namuona Meku


Kipa aliokoa goli. SimchezoYani nimeamini Figo habadiliki. Nilizani ameacha kubishana na waamuzi. Nazani anakumbukia enzi zakeMchezaji wa Realmadrid-Karambeu akiomba kupiga picha Selfie-Binafsi na Mheshimiwa Rais wetu JK

Swaggaaa. Sasa wewe mdau jaribu kuiga ili swagga uone
Mzee wa 3 dah haya bwana

Kamanda

Kweli nimeukubali hu uwanza wa Taifa


Jamani kwa mapicha zaidi zama hapa kwenye Readmore


TBC wakiwa makini kabisa. Kamanda Adrian safi sanaMzee wa Tropical Msami aka Mabango. huyu jama nimtaalamu wa mabango ya matangazo
Mwali
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania J. Kikwete akimkabidhi kombe mchezaji wa  Realmadrid 

Mwisho wakunuku