GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 23, 2014

GRM Production yaweka historia nyingine. Camera nazo zimekuwa Wireless. Nyaya Hazikubaliki! Sasa ni wireless 100%

Kwakweli katika kitu kilichokuwa kinaniuzi kwenye Video production -Live ni kitendo cha kurikodi video huku umeunganisha wire kwenye Camera-AV yale ma wire mekundu. Hi ilikuwa inafanya kamera man asiwe flexible-yani kutembea akiwa huru na kukera watu . Ila sasa baada ya mzigo wa wireless kuingia sasa kazi itakuwa super sana na Camera man watakuwa more creative na Flexible na kuondoa kero kwa watu wasijikwae na mawire.
 Pia kwenye Live-recording Signor haitakuwa inakatika  kwasababu hakuna mambo ya wire kuchomoka.
Sasa kilichobaki ni umeme kwenda wireless. Nasikia hili linawezekana. Maana kama Iphone 6 unacharge wireless basi hili linawezekana

Kitu cha wireless HDMI.  Kwakweli kitu ambachokimebaki ni Blu-ray. Namaanisha kwamba sasa nitaanza kutoa DVD za Blue-Ray-. Hi itaongeza quality ya video tunazowapa wateja. DVD  za sasahivi huwa zina uwezo wa 4.5 GB lakini DVD za Blueray ni 25-80 GB. Sasa huwa tukirekodi video tunatumia HD na file zima la kazi unakuta ni GB 80 . Sasa huwa tunaconvert 80 GB kwenda kwenye 4.5 GB hapo lazima quality ipungue. Sasa ndio maana naamia kwenye blu-ray. mambo yakishakaa vizuri nitawajulisha wadau wa GRM Production. Angalizo hapa na wewe mdau itabidi ununue DVD deki ya Blu-Ray. kwa sababu hizi dvd za kawaida zinasoma Disk ya 4.5 GB. hazina uwezo wa kusoma zaidi. ndio maana ukiangalia DVD deki ya blue ray lazima huwa inakuwa imeandikwa na bei inakuwa imechangamka

Vifaa vipya

Usajili Mpya

Mawasiliano ni muhimu katika kazi. ndio maana nimeshusha huu mzigo. Pia kunamzigo kwa ajili ya wanakamati. 
Nyaya hazikubaliki

Wireless kwa ajili ya TV-Av wireless Video Transmitter
Wireless ndio mpango mzima