GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 23, 2014

The Wedding of Abdul Kimanga and Mwahija Killo. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri! Part 1

Abdul and Mwahija hakika walitokelezea. Safi sana. Mzee wa Shereheyetu.com

Safi sana. Kwakweli napenda kuchukua nafasi hi kumpongeza Abdul. Kweli katika mdau ambaye ameleta mapinduzi kwenye mambo ya harusi kwa upande wa Audio-Music ni huyu Abdul wa Sherehe yeyu. Yeye huwa ndio anawapatia  music set ma Mc. Na Ma MC wote maharufu hapa Tanzania wanachukua mziki kwake. Safi sana Respect DJs. Basi ukienda kwenye harusi yeyote ukiona mziki umeandikwa Respect DJs basi ujue ni mambo ya Abdul

Dah Hakika Mwanahija alilitendea haki gauni lake. Gauni la Bi harusi limebuniwa na Eve Collection. Safi sanaSwagga la Mama mwenye nyumba


Kamanda Abdul. Kweli mganga hajigangi lakini sikuhi alijiganga

Nice. kweli nimemkubali Eve
SwaggaThe teamNamuona MC Pilipili
Swagga la Vuta nikuvute


Nice. Hapa namimi najikubali. Sifa jipe mwenyewe!!

Swagga la Vuta ni kuvute

The Girls

Swagga Hatarishi. 
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More


Nice. Kweli picha huwa zinaongea. Hapa ni dhahiri kuwa kijana ka- kamatika -Swagga la mahaba NiuweHakika Lotus aliutendea haki ukumbi wa Goldern Jubilee

Dah niliikubali hi keki toka kwa Monica wa Special occassion

Kama kawaida mambo ya msosi yalikuwa chini ya Dorka cateringDah nimekubali hi setup


Keki
Jamani mwisho wakunuku. Bado nitawaletea maswagga zaidi