Name : Jackson and Leticia
Location : Whitesand Hotel
Venue : Blue Pearl Hotel
Photo : GRM Production
 |
Hakika Jackson na Leticia walitokelezea. Safi sana |
 |
Kama kawaida Jackson alipiga suti kutoka kwa Sheria Ngoi |
 |
Nice |
 |
The moment |
 |
Swagga la Dunia Mduara |
 |
Hakika Leticia alilitendea haki gauni lake. Safi sana |
 |
The Team |
 |
The boys ndani ya Sheria Ngoi. Dah namimi natamani sikumoja nivae Suti kutoka kwa sheria . Najipanga mdogomdogo |
 |
Nice |
 |
Waooo pete nzuri |
 |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi |
 |
Nimeikubali hi keki |
Jamani Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
 |
Upendo kwa wazazi |
 |
Jamani mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment