GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, October 23, 2014

The Wedding of Barry and Edith. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Barry and Edith walitokelezea. Safi sana

NiceWooo I love this Pix
Nice.
The moment

Duu nimekubali hili swagga. Barry umeli remix Safi sana
Hakika Edith alilitendea haki gauni lake la Harusi. Safi sana

Swagga la Mheshimiwa baba mwenye nyumba
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron


Bestman and Matron wakiwa kifamilia zaidi
Nice

Hapa Nimejikubali! I love this pixKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreSwagga la CCM oye au...


Upendo kwa wazaziNice


Safi sana Kizito.

 Kizito akiwa na Mrs wake. Safi sana. Sasa nikija Mtwara nitakutafuta. Nataka na Mimi nipate kitalu cha Gesi. Hivi na kwenye vitalu vya gesi kuna open space?. Nataka nivamie japo kimoja Upendo kwa wazazi


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Kunduchi beach-Kikwete hall

Nimekubali hi keki
Mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni.