GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, October 21, 2014

The Wedding of Geofrey and Ruth. Onja kidogo!

Hakika Geofrey and Ruth walipendeza sana. 

Nice


The momentKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
Nice

Hakika Ruth alilitendea haki gauni lake la Harusi


Swagga la baba mwenyenyumba. Dah nimekubali hi Suti@Sheria Ngowi
Ruth akiwa na Matron wake.


Geofrey akiwa na bestman. Safi

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron


The Girls
Kwaniaba ya GRM production nawatakia Geofrey and Ruth Maisha mema yenye Amani, upendo na furaha.

Mwisho wakunuku