GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 10, 2014

Neema Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Neema alitokelezea. Safi sana
Hakika Neema alilitendea haki gauni lake . Nice
The Girls


Swagga la Binafsi aka Selfie

Neema akiwa na Mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni  Mr and Mrs


Nice
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Goldernjubilee

Dah Nimeikubali hi keki Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read moreUpendo kwa Mama
Kama kawaida Maznat Bridal care walimtendea haki Neema. Safi sana


Safi . Maswagga ndani ya Maznat Bridal Care
The Kochiessssss


SwaggaaaNeema akiingia ukumbini. Safi sanaShikamoo dada Neema. Nimekubali mambo ya' moet'

kwakweli watu walifurahi sana. Sasa hapa sijui ilikuwa mambo ya Pullover-Reverse

Kwakweli nilipenda hili swagga. Neema alimpa heshima ya kipeke Mume wake mtarajiwa kwa kukata naye keki. Wakati mwingine  huwa nashanga wakati wa Sendoff mume mtarajiwa anajificha, anaonekana tu wakati wa kwenda kula chakula.

Nice


Nimekubali. Ila usisahau hapa ilikuwa bado hawajafunga pingu, angempiga kiss lazima angepigwa bonge la fine -Chezea mashangaziJamani Mwisho wakunuku