GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 14, 2013

Miss Dar City Center 2013. Wakati warembo wakiwa kambini walipata dili yakutangaza nguo toka duka la Virago. Onja kidogo jinsi warembo walivyokuwa wanajitaidi kuuza nguo.

Kwakweli  napenda kuishukuru kampuni ya Allure International kwa kutuhusisha katika mchakato mzima wa miss Dar City Center. Kampuni hi ndio imeanda  miss dar city center.  Allure international inajihushisha na Event management, PR and Marketing. Contact zao ni +255719572123 or email jgkamukala@gmail.com


Kama kunanguo yeyote umeipenda hapa wewe  wapigie Virago Tel -255712192954 na utaipata.   Zama hapa kwenye Read More upate maswaaga zaidi


Wadau nawatakia weekend njema. Dah kwangu ndio Jumatatu leo.