GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, June 19, 2013

Lady Jaydee 2013 ! Miaka 13 kwenye Game. Cheki kidogo jinsi mambo yalivyojiri kwenye show na uzinduzi wa Album yake Mpya 2013

Lady Jaydee akiwasha moto.Nimekukubali dada

Mheshimiwa Sugu alikuwekoSugu Motochini... Dah alinikumbusha enzi hizo.

Kama kawa mheshimiwa alipewa saluti zake

M 2 The P naye aliibuka na kushukuru wa Tanzania kwa kuwa naye bega kwa bega katika kipindi hichi kigumu kwake.


Juma Nature naye aliwasha moto

Kama Kawa Dj Choka alikuweko mitamboni. Safi sana

Dah kunamichecho hapa duniani ila huuu mhhh. Jama nimemkubali. huyu chatu ni mzito

Duuuuuuuh . Nilipokuwa nampiga hi picha nilisikia ananguruma nikajuwa kakasirika. Huwa namfuatiliaga sana huyu chatu. Ila siku hii alikuwa anahasira. 
Mashabiki wa Lady Jaydee wakitowa swagga la anakondaProf J naye alikuwekoDj Choka Naye aliwasha motoFor More Pix zama hapo kwenye Read More

Wadua wakinukuuu matukio mbalimbali

Kazi yakupiga picha sio rahisi jamani
Upendo kwa Mama
Rehama akitowa swagga


Jamani Mwisho wakunuku. All the Best Lady Jaydee