GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, June 12, 2013

Heineken Nyama Choma. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri katika viwanja vya TTCL Sayansi. Swagga ni za Ki Heineken zaidi

Banda la Heineken 






Mzigo ukiwa unasubiri wadau. Safi sana


Hakika kwa aliyekuweko atakubali hili ni bonge la mtoko. Safi sana na hongera sana dada Carol kwa kutuletea hi nyama choma


Safi







Kwa maswagga zaidi zama hapo kwenye read more












DJ Choka alikuweko




Nimekubali hili swagga
Swagga safi sana



























































Jamani Mwisho wakunuku. Tukutane tena kwenye Next Nyamachoma.