![]() |
| Samahani wadau kwakuchelewa kuapdate kablog chetu. Nikosafarini na kamamnavyojuwa mambo ya mitandao huku vijijini. Hapa nikotowa swagga katika mto kagera |
![]() |
| Kikazi zaidi |
![]() |
| Kijana wangu Hamidu akiwa kikazi zaidi |
![]() |
| Dah nimekubali hili gari kweli ni roho yapaka |
![]() |
| Hapa wadau wakitowa swagga tokea Bukoba. Nimekikubali hichi kipleft cha Bukoba kina mgomba safi sana. Dumisha Asili |
![]() |
| Safi Bukoba. Jamani sio ndizi ni sanamu. Kama ingekuwa ndizi sijui kama ingekuwa hapo |
![]() |
| Kanisa la Bukoba RC. Hapa ndipo pale Askofu Rugambwa alipozikwa. |
![]() |
| Wakati napita Mwanza nilikutana na safari nyama choma |
![]() |
| Wadau wakisubiri nyama kwa hamu |
![]() |
| Jamani mwisho wa kunuku tokea Bariadi. Thanks for Airtel Tanzania Ltd. Internet iko super. |



















No comments:
Post a Comment