GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, August 12, 2013

The Wedding of Donald and Lilian. Onja kidogo! Chakula bado kilo jikoni.

Donald and Lilian Safi sana. Hakika walitokelezea.


The Moment. Well Kazi mojawapo ya mpiga picha kwenye harusi ni kuonyesha the Love iliyopo kati ya maharusi. Na hapa hakuna atakayebisha kuwa Donald and Lilian wanapendana. Safi sana

Swagga la InLove

Safi sana

hakika Donald and Lilian walikuwa wanafuraha sana


Dah Huwa kazi yakupiga picha inakuwaga rahisi kama kunakuwa na kushirikiana kati ya mpiga picha na maharusi.  Alafu kupozi sio kitu cha rahisi. lazima mtu unachoka haswaa maharusi.  Lakini huwa nasemaga jamani siku hazijirudi.  Utachoka lakini utapata kumbukumbu zuri. Safi sana. Donald na Lilian walionyesha ushirikiano sana.


Nice


Nimeipenda hi picha

Hakika Lilian alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi sana

The First kiss

Nimeipenda hi picha
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and MatronNice


Kwa Maswagga zaidi zama hapo kwenye Read More

The Girls


Upendo kwa wazazi

Upendo kwa wazazi


Nimekubali hili swagga.

NiceJamani Mwisho wakunuku. chakula bado kiko jikoni