GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, November 24, 2011

The Wedding of Samson and Glory. Na Beep Kidogo

Samson and My wife wake Glory Safi sana 


Hakika walipendeza sana

Nice

Swagga la beba malizako Nice

Swagga la mwenyewivu ajinyonge

Mke wa Samson Bi Glory


Safi baba kama JK

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Best man na MatronBest man na Matron Sijui wako kikazi au ni Full ? Nao walipendeza sana. Safi sana


The Girls. Safi sana

The BoysHakika Glory alilitendea haki hili Gauni Dah!

Upendo kwa wazazi


Naona Bestman akiwa makini akifuatilia tukio la kusine mkataba wa  kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe


Chezea!In LoveIn Love