GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 15, 2011

The Wedding of Lance and Rita. Na beep kidogo tuu

Lance and Rita. Nice

Hakika walipendeza sana

Hakika Rita kalitendea haki gauni. Safi sana

Safi sana
Swagga la in love. or From US with LoveSafi sana Shemeji.  Anatokea jiji la Obama.Nice
Maharusi wakiwa na Bestman na MatronNice

Upendo kwa Mama. Safi sana Shangazi


Kanisa walipofungia pingu-Azania


Nimeikubali hi Pix. Kwa juu hakika malaika walikuwa wanazunguka. Cheki hilo wingu leupeMaharusi wakiingia kanisaniPingu
PinguWazazi wakifurahi baada ya kusikia I DO Dr L Mboma alikuweko. Jamani huyu ni Mama yangu mzazi. Safi sana. Hapa akiwa makini kabisa akifuatilia neno

Baada ya kufunga pingu maharusi wakitowa swagga

Nice
Jamani mwisho wakunuku. Nasamahani kwa kutokuwa hewani last week.