GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, January 2, 2011

Heri ya Mwakampya wadau. Nashukuru mungu tumevuka salama. Sasa malikizo ndio yanaishia kaeni mkao wakula nitawaletea top 20 za mamodel walio tesa 2010. Ifuatayo ni Intro

Sasha nae mwaka huu alitesa sana. Nakumbuka nilipo muonyesha picha za TK alifurahi sana naye akanipa swagga zake. Hongera sana.
TK
Simon Nae alitoa swagga
Jeniffa akiwakilisha Blackfox