GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 13, 2011

Happy Birthday Kanumba. Grm Production tunakutakia maisha marefu yenye furaha na mafanikio.

Happy Birthday

 Maswahiba wa kanumba tulimfanyia suprise party. Hapa alikuwa anatowa shukrani

Huyu alikuwa kwenye kamati ya vinywaji

Kanumba akikata keki huku Aunty Ezekiel akitowa muongozo
Wadau mbalimbali walio fika kumpongeza

Safi sana dada silvia


Mjomba naye alikuweko

Kanumba akiingia Ukumbini huku swaiba Vincent aka Ray akimsindikiza
Silvia akimuuliza kanumba unamiaka mingapi?

Mtaalamu wetu wa mambo ya urembo naye alikuweko

Lilian naye alikuweko