![]() |
Ally Kiba akiingia location |
![]() |
The man behind the Camera! Karabani |
![]() |
Ramson Akielekea location. |
![]() |
Karabani Akiwa kazini. Hichi kichwa ni hatari sana. Nyie subirini hii video na mtakubaliana na mimi. |
![]() |
Kijana wangu lusubilo akifunga Craine |
![]() |
Ngoma ikipashwa moto. |
![]() |
Simchezo naingojea hi video kwa hamu sana |
![]() |
Kweli hii nivideo ya ainayake. Mzee akisubiri scine yake |
![]() |
Ally akitoka shamba |
![]() |
Ali Kiba akimtwa ndoo dada kwenye moja ya scine |
![]() |
Lusubilo akipokea maelekezo toka kwa Karabani |
![]() |
Niko fiti bwana |
![]() |
Swagga toka kwa mdau |
![]() |
Baada ya kumaliza shooting wakaanza kufungua vifaa. |
![]() |
Ally Kiba akiondoka na kuelekea kwenye location nyingine |
inaelekea itakuwa nzuri. naisubiri kwa hamu
ReplyDelete