![]() |
Mchakato ulivamia Via Via Arusha |
![]() |
Movie Director wangu na Camera man Hamidu wakitafakari |
![]() |
Presentar akijianda kumuhoji kisura |
![]() |
Kabla ya usahili visura walipewa semina elekezi kuhusu Ukimwi |
![]() |
Wakati vijana wanakwenda arusha walikutana na hii ajali. |
![]() |
Basi kwa ndani |
![]() |
Mazingira ya jiji la Arusha. Nao wanajitaidi kwa usafi |
![]() |
Visura wakifanyiwa usaili |
![]() |
Naona jaji akiwa makini |
![]() |
Nago akipozi |
![]() |
Kisura akitowa swagga |
![]() |
Visura wakipozi kwa pamoja |
No comments:
Post a Comment