GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, September 12, 2013

The Wedding of Isaka and Joyful. Part 1. Onja Kidogo

Kwa wanao wafahamu hawa maharusi wanaweza kusema kuwa nimekosea majina yao! Ukweli ni kwamba Isaka Ibraimu Adamu wa pili na Joyful Isaka Ibrahimu wapili, wameokoka hivyo wakabatizwa tena. Bwana Harusi au Isaka or Emmanuel Mboma ni mdogo wangu. Baada ya mimi kuzaliwa yeye ndio alifuata.

Hakika walipendeza sana Isaka na Joyful. Tunajitaidi kuzoea majina yenu mapya.
Harusi ilifanyika siku ya Jumanne. Ila maharusi wanasema ni siku ya 28Ethanimu2 kwa waumini wa kanisa la The Pool of Siloam  watanielewa

Nimependa hii. Kanisa la the pool of Siloam ambako 'Isaka' and 'Joyful' wanasali huwa wanafanya sendoff  kwa maharusi. sio bi harusi tu bali na bwana harusi , kwa hivyo haya maswagga yalikuwa ni  ya sendoff . Harusi inakuja soon kwenye part. 2

Kweli nimependa jinsi walivyotokelezea. Alafu nimependa maswagga  ya hili kanisa la Siloam kuwa waumini lazima wavae nguo nyeupe.Dah hakika dogo ka fall in love. Safi sana Emma. Chezea mama wa kichaga aka Joyful -the wife

I love this pix

Mhh hakika na Joyful ka fall in love. Safi sana. kweli wanapendana. Huwa picha hazidanganyi.'Kada InLove' hi ni kwa wadau wale wa chuo kikuu Alan, Albert etc Kijana kaokoka na kufunga pingu. Bado Al.......


Mama Mwenye nyumba Joyful. kweli tumepata mpora.

Hakika Joyful alipendeza sana. 

Swagga la baba mwenye nyumba Emmanuel Mboma aka IsakaIsaka na Joyful wakiwa na wasimamizi waoNice


Mpaka nakwenda mitamboni nilikuwa sijaelewa hili swagga ila Swagga ni swagga. Safi sana

NiceNikatowa swagga na maharusi. Ingawa nilikuwa kikazi na kifamilia dah lazima nikiri kitu. Nilikuwa najuwa haya mavazi meupe ni rahisi kuyapata. Dah nilitafuta hapa town japo namimi nitokeleze ki Siloam nikagonga mwamba. Kumbe inabidi utowe order. 
Nice

Upendo kwa Mama mdogo-aka Triza Makupa

Safi
Yesssssssss

Mwisho wa kunuku. Harusi Coming sooooon