![]() |
Tabby akiwa tayari kabisa kuelekea kufunga ndoa na Innocent |
![]() |
Safi sana Hakika Glam Madam alimtendea haki |
![]() |
Duuu safi sana Hi picha ni ya kuframe kabisa. Innocent uko.....!!! |
![]() |
Nice |
![]() |
Swagga la kucheza na vioo. |
![]() |
Gauni likitowa swagga |
![]() |
Dah kupiga swagga kama hili mpiga picha lazima ujipinde. |
![]() |
Dah hi picha ni nzuri ila nimeiharibu mimi mwenyewe. nimetokea. Hapa sikujipinda. Ila sema kweli mimi sipendi kuedit picha. Napenda uhalisia zaidi. |
![]() |
Swagga |
![]() |
Yes today is the Day......i say i do.... |
![]() |
Kitu cha TZ. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Namimi nikatowa swagga la kwenye kiooo |
![]() |
Dah mpaka Flash ikapata moto. |
![]() |
Sinilisema gauni linatowa swagga. Hapa ni intro tuuuu. Safi sana |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
![]() |
Safi |
![]() |
Tabby akimuimbia wimbo Innocent. Safi |
![]() |
Innocent and Tabby. Mr and Mrs. Safi sana |
![]() |
The Girls |
![]() |
Jamani chakula ndio kwanza kiko jikoni. Nimewaonjesha kidogo. |
mmh kama kuonjeshwa ndo hivyo cant wait for the msosi mzima...
ReplyDeleteWewe subiri kidogo tuu
ReplyDelete