GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 4, 2011

Lorna's Night! kwakweli ulikuwa ni usiku wakipeke. Nawaonjesha jinsi mambo yalivyokuwa


Lorna Hapa alikuwa Bi Harusi Mtarajiwa

Safi sana Lorna kweli umependeza. Shuhuli hii ilifanyika mlimani City.

Lorna akiwa na Matron wake


Safi sanaLorna akitowa Swagga na mume mtarajiwa.


Kikosi kizima. Nauwakika na harusi ilifana sana.Bwana harusi mtarajiwa na Best man wakitowa swagga.


Kaka UnatishaBest man akishow love na Mywife wake. Safi sana
Taratibu Bwana harusi Mtarajiwa.

Hili Swagga la vuta mali yako nimelipenda sana
Safi kaka.Nice. Mama na Mwana

Kweli mmependeza sana. Naona Huby anawakilisha. Kitu ambacho pia katika sherehe hii kimevutia ni kwamba  Colour code ilikuwa Cobalt Blue, Silver na Yellow. Unachagua utoke vipi.Waheshimiwa nao walikuweko. Safi sana.

Wakwe wakiingia. Huyu jama naye mwezi watano anafunga pingu kama sijakosea.

Safi sana Prof. Kweli umependeza sana

Wazazi wa Bi Harusi mtarajiwa. Prof Mwette na Mkewe. Safi sana

First Lady Naye alikuweko. Hapa akiingia ukumbini

First lady akipokelewa na wazazi wa bi Harusi. Safi sana

Kweli katika mchakato wa Vazi la taifa Nazani Kweli Mama Salam kikwete au First Lady  inabidi awe kwenye kamati. Kwenye mambo ya mavazi pia  nimtaalamu sana. Safi sana Mama Salma.

Safi sana hakika mmependeza

Keki ya harusi

Lorna akikata Keki

Hi bendi iko fiti bwana. Wazee wa Calabash.

Hapa nakumbuka bii Harusi alikuwa anamtafuta mchumba wake. Alizunguka kwasababu mchumba alitoa mpya. Alijificha chini ya meza. Safi sana

Mume mtarajiwa akitoka chini yameza. Swagga kama hizi zinafurahisha sana. Na kwakuwa ni siku pekee na haijirudi basi kumbukumbu ina dumu forever.

Bwana Harusi mtarajiwa akitambulishwa kwa wageni waalikwa.

Mambo ya msosi . Kweli kaka yangu Doglasi unatisha. Safi sanaFirst Lady akimpongeza bi Harusi. Nakumbuka alimdokeza kuwa ndoa ni kuvumiliana, kupendana, kuambatana, nakuwa Mwili mmoja!

Safi 

Nice

Mmependeza

Safi sana

Kama kawa nilifunga mobile studio ukumbini

Safi sana
Dah huyu jama  alisafiri toka mbeya kuja kutowa burudani. anatisha yuko fiti. Kama sijakosea anaitwa Awilo

Bila shaka hawa ni maharusi watarajiwa.

Nice

Kamati ya Maandalizi ya Sherehe