GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 1, 2012

The Mboni Show Onja kidogo

Host mwenyewe Dada Mboni akitowa swagga.  Jamani Hichi kipindi kimeanza kuruka EATV jana. Kitakuwa kinaruka every  Thursday (9:00-10:00 Pm)

Mgeni wakwanza alikuwa Wyre. 

Nice. Hakika dada Mboni Ndoto yako imetimia sasa. Jamani nakumbuka hi safari ilikuwa ndefu sana na huyu dada anamoyo, anajiamini na kwanamna hi lazima atafanikiwa. Nakumbuka tulivyokuwa tunakirekodi hichi kipindi kweli Mboni alijitaidi sana na tulitumia siku nzima.


On Set

Wageni 

Namimi Nikatowa swagga
Jamani Mwisho wakunuku. Mkitaka kupata full data za hichi kipindi jamani zameni huku thembonishow.com