![]() |
Muta and Jane. Safi sana hakika mlipendeza sana |
![]() |
Hakika Jane alilitendea haki gauni lake. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Safi sana |
![]() |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mlimani City |
![]() |
Kama Kawa tulifunga mobile studio |
![]() |
Mheshimiwa mama yetu L. akienda kumpokea mwanae alipokuwa anaingia ukumbini. Safi sana |
![]() |
Baba naye akienda kumpokea mwanae |
![]() |
Muta na Jane wakiingia ukumbini |
![]() |
Mila ikidumishwa |
![]() |
Upendo kwa mama |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
Nice |
![]() |
Nice |
![]() |
Ndafu |
![]() |
Dah nimekubali hi Keki |
![]() |
Jamani mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni |
No comments:
Post a Comment