![]() |
Wale wadau walio kuwa wanawaulizia masuper model wetu Simon na Sasha hawa hapa katika maswagga mapya |
![]() |
Dah |
![]() |
Wow eh nimekubali |
![]() |
Nice |
![]() |
Dah |
![]() |
I like it. i think this is one of my best pix |
![]() |
Safi |
![]() |
Sawa meku nimekubali. Nani anasema wachaga hawajui umodel |
![]() |
Nice |
![]() |
Moyo wangu moyo wangu |
![]() |
Dah hapa uliniwacha hoi. Kweli uko fiti sasha |
![]() |
Maswagga hatari. Hapa kama afya inamgogoro lazima ukanyooshe mgongo. Safi sana Sasha |
![]() |
Wow hah hah hah |
![]() |
Duhhhhhhhh |
![]() |
Inatosha jamani kwa leo |
watoto hawa kiboko kwa maswaga safi sanaaaaa,wachaga tupo juu bwana hiyo inajulikana apende mtu asipende habarinyo ndio hiyo.
ReplyDelete