GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 20, 2011

Nargis Ladies Party. Jamani chakula bado kiko jikoni!

Bi Harusi mtarajiwa safi sana

Nice. 


Hakika Nargis kalitendea haki hili gauni

Dah

Jamani kesho nitawaletea yaliyo jiri kwenye Mobile Studio

Bi harusi akiingia ukumbini huku akisindikizwa na msafara wa pikipiki. Kweli dada umefunika


Msafara kama wa Mama yetu First LHakika ukumbi wa karim J ulitingishika


Mama wa U Turn- Mange alikuweko. Hapa akinuku matukio kwa umakiniSamaki anavipande vingapi.....??? Vitatuu......Gafla na bajaji zikatinga ukumbini. Dah Chezea Nargis
Namuona Dada yangu Chaya akiwa makini kunuku matukio. Safi sana


Kamati ikiingia ukumbini'Gere Mama'

Wadau

Nice

Hakika mlipendeza sana. SafiHakika mpambaji aliutendea haki ukumbi. Utazani uko mbinguni
Kama kawa Dorkas alikuweko. Mama wa Msosi

Dah  nimekubali

Nargis akipakuwa chakula

Safi sana

NiceHakika mlipendeza sana

Safi sana. Nimekubali hili swagga

Nice


Safi sana dada MboniUpendo kwa mama


Mange akitowa swagga. Kama sijakosea hi nguo imetengenezwa na Kiki


Nice


Kiki akitowa swagga

Mwamvita naye alikuweko. Safi
Kama kawa Lotus walikuweko kwenye mambo ya mapambo

Keki

Kwakweli Lotus nimewakubaliZawadi 

Nimeikubali hi picha


Kama kawa tulifunga plasma TV-Samsung


Nyama choma zilikuweko. Chezea Dorkas

Bufeee ikisetiwaMambo ya urembo yalikuwa chini ya Maza


Mwisho wa kunuku