GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 16, 2011

The wedding of Victor na Monica Na beep kidogo tu. Chakula bado kiko jikoni

Victor na Monica

One of my Best Pix Safi sana


Safi sana hakika walipendeza sana





Nice


Mke wa Victor










Mume wa Monica aka Victor






Best man na Matron . Safi sana





Dah watoto wanamaswagga hawa. Safi sana










Nice







Mwisho wa kunuku. Nawatakia maisha mema yenye furaha, amani na Upendo

1 comment:

  1. kwa kweli picha ni nzuri sana na ziko clear mpaka zinaleta raha, mimi nilikuwa nauliza nyie ma professional mkipiga picha mtu kutoka juu mpaka chini zinatoka vizuri sana, na karibu na picha. mimi mbona nikizoom picha inakata miguu na nikiacha kwa mbali haitokei vizuri, au ni kamera yangu au ndio upigaji wangu?
    Da Atu UK

    ReplyDelete