GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, September 4, 2011

Pole sana Shiraz na Ashraphe. Tuko pamoja


DRV: Shirazi baada ya ajali. Pole sana  mkuu GRM tuko pamoja. NVG: Ashraphe tulimuwaisha hospitali kwa hiyo sikuweza kumpiga picha na ile hali. Ila nasikia anaenelea vizuri lakini hali ya mkono Wake tunamuachia mungu 

Pole sana. Tuko pamoja


Shiraz akiojiwa  na EATV

AjaliYani kweli hi ajali iliwasononesha watu wote walio kuweko jana. kwasababu kweli katika watu walio kuwa wanatendea haki Rally Shiraz na Ashraphe hutawaacha


Dah walikuwa wanatembelea matairi mawili. simchezo. Kweli naikumbuka hi ajali kwasababu picha yangu yamwisho kupiga ilikuwa hi na sekunde chache ndipo ajali ikatokea.

Amen