GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, August 4, 2011

Kutana na Mpambanaji Dorka aka Dorka Catering Services. Dah kweli anatisha. Safi sana Dada

Mpambanaji Dorka aka mama wa bufeeeee

Yani nikiangalia haya mambo mbona njaa. Poleni jamani wale waliofunga

Dorka akiwa kazini. Jamani ukitaka kumpata mrukie hewani  +255 782 028 550 


Simchezo


Mambo yaliyonimaliza ni hi "Chokolate" inayotngenezwa live ukumbini. Simchezo kweli nimekubali