![]() |
Nicholaus na my wife wake Sarafina hongereni sana |
![]() |
Hakika walipendeza sana |
![]() |
Bwana harusi akimtandika madini mke wake Sarafina. Mwenye wivu ajinyonge! |
![]() |
Mume wa Sarafina |
![]() |
Bestman |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Nimekubali Hakika mavazi yametendewa haki |
![]() |
Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi wa makuti. |
![]() |
Maharusi wakiingia |
![]() |
Dr alikuweko. Dah nimekubali hizi pamba |
![]() |
Safi |
![]() |
Mwisho wakunuku! |
No comments:
Post a Comment