GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, August 24, 2011

Janet Night! chakula bado kiko jikoni nawaonjesha kidogo tu!

Janet Safi sana

Nice







Matron






Janet akiwa na wasimamizi wake safi sana









Upendo kwa wazazi

Mapambo hakika Lotus walitendea haki Diamond VIP hall



Nimekubali




Kama kawa  Mama wa Maakuli alikuweko 

Yani Mamsosi ya kufa mtu. Safi sana



Mwisho wa kunuku!

2 comments:

  1. Janeth Weruweru member mwenzangu ulipendeza mnoooooo hd umenipa tamaa nami kuwa bride ulilitendea haki gauni, make up safi, smile, wapambaji nao waliutendea haki ukumbi, misosi ndo mwake mwake tisa kumi grmproduction mko juu sijui mnatumia neno gani kuelezea quality ya pics zenu ila jicho la samaki huwa linanikuna sana linaleta mvuto wake, ikifika yangu nitawatafuta mnitolee kumbukumbu yangu mko juu sana big up vijana wenzangu

    ReplyDelete
  2. Kwakweli nimeipenda sana hao maids wake yani style ya aina yake upo juu dada hongera sanaaaaaaaa

    ReplyDelete