![]() |
| Emelda on Set. |
![]() |
| Simchezo hii set nimeikubali. Nice |
![]() |
| Safi sana. Hapa ni ndani ya GRM Studio. Hakuna kinachoshindikana. |
![]() |
| Dada Emelda on Set |
![]() |
| Nikijadiliana na Host kabla ya kuanza kurekodi kipindi |
![]() |
| Nikienda nyuma ya Camera |
![]() |
| Kabla ya kipindi kuanza tulipiga sala |
![]() |
| Huyu jama ndio ametengeneza hii set. |
![]() |
| On Set Emelda akiwa na mgeni wakwanza katika show dada Brenda Msangi |
![]() |
| On Set |
![]() |
| On Set Emelda na wageni wakijadiliana. |
![]() |
| Baada ya kumaliza kurekodi wageni walipiga picha ya pamoja |
![]() |
| Mart Materu, Emelda,Mama Rose Kimati na Brenda Msangi. |
![]() |
| Mary G Materu Yeye ni Senior Nutritionist. |
![]() |
| Director wa show Loretta Mugaragu akiwa na mama yake Rose Kimati. |
![]() |
| Mtaalamu wangu wa Sound Mkusa aka Paster Firi |
![]() |
| Nikiwa na vijana wangu Mkusa, Noeli, GM na Lusubilo |
![]() |
| On Set. Kama nilivyosema nitaendelea kuwapa habari kuwa kipindi kitaruka wapi na lini. |



















Am getting inspired every day by looking into your website
ReplyDeleteBeautiful thingz
God bless you!!!
hongera sana dada Em.
ReplyDeleteGrace
hata mimi natamani sana kuwa kama wewe, be blessed sister
ReplyDelete