![]() |
| Kabla ya kazi kuanza Visura walirembwa kidogo. Siunajuwa mwanamke urembo! |
![]() |
| Safi dada |
![]() |
| Nimekubali Dada na swagga la Samaki. |
![]() |
| Simchezo |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Cheza na Mtumbwi. |
![]() |
| Swagga la nyoka |
![]() |
| Kweli umepikwa ukapikika. Safi sana dada |
![]() |
| Sina chakusema hapa. Ila safi sana. |
![]() |
| Swagga la Kisura Gaga |
![]() |
| Safi sana. Wadau kaeni mkao wakula nawaletea Top 10 visura. |





























kweli warembo walipendeza sana,hivi jamani yule kisura wa kimasai yupo wapo?
ReplyDelete