GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, April 2, 2011

Harusi Trade Fair Day 2. Mambo yaliyojiri

Banda letu la GRM Pro


Nikitowa swagga baada la kuwaelezea maharusi watarajiwa jinsi tunavyofanya kazi


Banda letu

Mambo ya Wedding Bells. Kwa wale wanao tafuta magauhi ya harusi basi hapa ndipo umefika

Wataalamu wa kupangilia mambo ya harusi
Heineken ndani ya nyumba. Jana wana pakeji ya harusi simchezo! 


Wataalamu wa magauni ya harusi
Dah hapa nimeona magauni ya nguvu. Haya ni mambo ya Blu CherrieMoe.www.bcmfashion.blogspot.com


Wataak


Wataalamu wa mambo ya kadi za harusi. Warukie hewani 0655080208