GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, April 28, 2011

Mwache Mwarabu aitwe Mwarabu kweli jama wanatisha!

Dah hi nimoja ya supermarket iko nje kidogo ya jiji la Dubai. Magari niliyoyaona yamepaki nje kweli nilistuka. Ingekuwa bongo basi lazima ungesema labda uko nje ya jengo la bunge! Yani ni 4 X 4

Duh sasa hapa kama unakiCorola chako siunapaki mbali kabisa


Nimekubali

Hii ni Nissan New Model kweli inatisha
Nimekubali


Nami nikaona japo nipate kaukumbusho na kutowa kaswagga!

Dar Nissan New model 2011 simchezo. kama kawa najuwa yataanza kumiminika bongo kwafujo. Kweli naona Nissan imefunika Toyota LandCruza V8 ya 2010. Kama kwenye picha unavyoona lina katiza jangwani!