GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 26, 2012

Happy Birthday Sasha Makupa


Happy Birthday Super model wetu Sasha MakupaSasha akiwa na SimonRehema Aka Mama Sasha akimpa hongera Sasha


Enzi hizo nikitowa swagga na Sasha

Sasha akiwa kazini


Sasha akiwa kauchapa usingizi. Nakumbuka ilikuwa ni saa 4:15 am


Sasha akidondosha chozi. kisa Hataki kula

Dah mambo ya BBM na FaceBook. kweli kazi ipo!

NiceNakumbuka hapa ilikuwa ni masaa matano baada ya kuzaliwa

Alipozaliwa tuu . 

Simon akishanga kuona Mtoto

Dah nilipombeba shasha kwa mara ya kwanzaSasha tunakutakia Maisha Marefu . Dah na pole kwa mitihani