GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 16, 2012

Dokoa Kidogo Madeline Night! Chakula bado kiko jikoniMadeline Safi sana Hakika ulipendeza sana


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi. Safi sana

Dah Kwakweli niliyakubali haya mauwa. Hapa bongo hayapo


Nimekubali hi Keki

NiceKama Kawaida dada wa nyama choma Dorkas alikuwa kwenye swala zima la msosi


Kama Kawa hivi vijiko na Glass ni mambo ya Dorkas

Nimejikubali mwenyewe. Kweli i like this pixMadeline akiwa na Matron wake Lucy.
Madeline akiwa na Mume wake mtarajiwa. Safi sana


Nice

All The best Madeline for the Big Day