GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 5, 2012

The Wedding of Abubakari and Diana. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Abubakari akiwa na My wife wake Diana. Safi sana hakika walipendeza sana
Diana mke wa Abubakari
Nice

In Love

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

The Girls
Abubakari akimtandika pingu  DianaDiana akisine mkataba wakuishi pamoja


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi

Nimekubali


Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia maharusi hawa maisha mema yenye furaha, amani na Upendo